KUTOKUJUA SHERIA HAKUWEZI KUMWONDELEA HATIA MTUHUMIWA.

KILA RAIA ANA WAJIBU WA KULINDA KUHIFADHI NA KUDUMISHA UHURU, MAMLAKA, ARDHI NA UMOJA WA TAIFA.

Sheria Kiganjani


Njia Rahisi Na Ya Haraka Kupata Msaada Wa Kisheria Kiganjani Mwako

litigation litigation

KUHUSU SHERIA KIGANJANI

Kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Kanuni ya Adhabu (The Penal Code), Sura ya 16 ya Sheria za Tanzania ...

Soma Zaidi
approach approach

MALENGO MAKUU YA TOVUTI HII

Kuhakikisha kuwa hakuna Mtanzania anayekosa haki yake ya kisheria kwa sababu ya kutokuwa na uelewa na/au....

Soma Zaidi
basic-rules basic-rules

FAIDA MBALIMBALI ZA TOVUTI HII

Tunatambua, Jamii ambayo watu wake wanafahamu masuala ya sheria inayo nafasi kubwa ya .....

Soma Zaidi
private-client private-client

Kwa Msaada wa kisheria wasiliana nasi

Kwa Msaada wa kisheria wa uhakika na wa ushindi wa masuala yote ya kisheria wasiliana nasi kupitia ....

Soma Zaidi

Makala

USIMAMIZI BORA WA MIRATHI KWA MAENDELEO YA FAMILIA

Uzoefu unaonesha kuwa, matatizo mengi hujitokeza katika familia au koo pale mtu anapofariki. Matatizo hayo hutokana na kutokujua taratibu za kusimamia na kugawamaliza marehemu kwa warithi wanaotambulika kisheria.

HAKI ZA BINADAMU

Hizi ni haki ambazo mtu anazipata mara tu anapozaliwa, na anaendelea kuwa nazo hadi kifo chake. Kwa maneno mengine, kitendo cha kuzaliwa ukiwa mwanadamu na si kiumbe kingine kinakupa moja kwa moja haki fulanifulani ambazo viumbe vingine havina

HAKI YA FIDIA KATIKA ARDHI

Ardhi ni Mali. Mali ni kitu au bidhaa yoyote yenye thamani. Kiwango cha thamani ya mali kinaweza kutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine, ama kutoka eneo moja kwenda eneo lingine

CALENDER